drnumber9

We're open for new collaborations.
News to be updated weekly.

Hustahili kuchukua mkopo kama… Wewe ndiye utakayelipa mkopo huo kwa fedha zako mwenyewe.Kwa sababu hapo utakuwa umechagua kujiumiza kifedha.Unastahili kuchukua mkopo kama utawatumia watu wengine wakusaidie kulipa mkopo huo.Unafanyaje hilo?Kwa kuwa na kitu kinachozalisha faida na kisha kutumia faida hiyo kulipa mkopo, hapo wewe binafsi huumii.

Written by

×

Swala la mikopo

Hustahili kuchukua mkopo kama…

Wewe ndiye utakayelipa mkopo huo kwa fedha zako mwenyewe.
Kwa sababu hapo utakuwa umechagua kujiumiza kifedha.
Unastahili kuchukua mkopo kama utawatumia watu wengine wakusaidie kulipa mkopo huo.
Unafanyaje hilo?
Kwa kuwa na kitu kinachozalisha faida na kisha kutumia faida hiyo kulipa mkopo, hapo wewe binafsi huumii.

One response to “Swala la mikopo”

  1. Nelius Didace Avatar

    Asan

    Like

Leave a reply to Nelius Didace Cancel reply

Design a site like this with WordPress.com
Get started