Karne ya sasa imeendelea sana kiteknolojia kwa kasi na wazo zuri la kibiashara litakalokulipa vizuri nikupitia mtandao (internet) 📖
Mfano katika kutengeneza matangazo na video za kuelimisha
Pili kutengeneza website za kibiashara na kuzitumia kutangaza kazi zako
Kuwekeza katika soko la hisa na hati fungani kupitia mifuko mbalimbali ya jamii
Leave a comment