Silaha pekee tuliyonayo wanadamu na jinsi ya kuitumia vizuri…
Kila mnyama kuna nguvu fulani ambayo amepewa kwa asili.
Simba ana nguvu na meno makali,
Chui ana mbio kali,
Ndege wanaweza kuruka angani,
Samaki wanaweza kuishi majini.
Lakini sisi binadamu hatuna vyote hivyo, ila tuna silaha moja inayotuwezesha kuwatawala viumbe wote hao.
Silaha hiyo ni akili tulizonazo.
Wanyama wote wana ubongo, lakini ni binadamu pekee ambao tuna akili ya kufikiri na kufanya maamuzi.
Ndiyo maana tunaweza kuwatega na kuwawinda wanyama wengine wote.
Unapaswa kuinoa silaha hii muhimu kila wakati.
Na njia pekee ya kunoa silaha hii, yaani akili yako, ni kuilisha maarifa sahihi.
Kwa kujua umuhimu wa hilo, hasa kwa changamoto tunazopitia saaa, ninekuandalia zawadi ya vitabu vizuri sana kwa maendeleo yako binafsi.
Kama nado hujapata zawadi hii, basi chukua hatua sasa.
Pata zawadi ya vitabu vya mafanikio.
Vitabu hivi nane vinapatikana kwa zawadi;
1. Kwa nini mpaka sasa wewe siyo tajiri.
2. Jinsi ya kunufaika na mabadiliko yanayotokea.
3. Kurasa za maisha ya mafanikio.
4. Biashara ndani ya ajira.
5. Mimi ni mshindi.
6. Jinsi ya kutengeneza fedha kwenye mtandao kwa kutumia blog.
7. Pata masaa mawili ya ziada kila siku.
8. Ijue biashara ya mtandao.
Tuma neno zawadi kwenda+255712409578
Leave a comment